This site offers materials from Bende, Katavi Region, Tanzania
 IRC & LingDy 2
ILCAA, Tokyo University of Foreign Studies

Home Introduction Tusahule Sibhende
Dictionary

Tusahule Sibhende
Acknowledgements

 This Bende textbook (Tusahule Sibhende / Tuongee Kibende / Let's speak Bende) was originally written and edited by three auhors Yasini MASHAKA, Hamisi KABOKO, and Yuko ABE (published from ILCAA, Tokyo University of Foreign Studies in 2015. ISBN: 978-4-86337-186-6).


Dibaji

 Tansania jilina makabhila kusumbe eghana na makumi abhili. Kila kabhila jilina luugha no bhutamaduuni bhwaje. Luugha jya taifa ni Siswahili ghojikotumika hamwi ne Singelisya. Museesi luugha iighana na makumi abhili sya makabhila ni nse, silina maandisi no bhuchapisyaji.

  Tanzania ina makabila zaidi ya mia moja na ishirini. Kila kabila lina lugha na utamaduni wake. Lugha ya taifa ni Kiswahili ambayo hutumika pamoja na Kiingereza katika mawasiliano rasmi. Miongoni mwa lugha hizi 120 za makabila ni chache ambazo zina maandishi na uchapishaji.


Contents
Unit   Title (in Bende) Title (in Swahili) 
1  Suula jya nyinanbele  Alfabheti sya Sibhende  Alfabeti za Kibende
2  Suula jya bhubhili  Kwiposya  Kusalimiana
 Suula jya bhutatu  Kwibhuula  Kujitambulisha
4  Suula jya bhune  Ndaa jimwi  Tumbo moja
 Suula jya bhutaanu  Malwele  Magonjwa
 Suula jya mukaagha  Mwisoko  Sokoni
 Suula jya ndwi  Sihugho sya Kabhende  Nchi za Kabende
 Suula jya munaane  Monga ghwa Katuma  Mto wa Katuma
 Suula jya kenda  Mwaka ghwa Sibhende  Mwaka wa Kabende
10   Suula jye ekumi  Misilo sya Sihugho sya Bhughalaba  Miiko ya Bugalaba
11   Suula jye ekumi na jimwi  Kamughenyi kaa kuseesya  Desturi za kusalimiana
12   Suula jye ekumi ne ebhili  Kamughenyi kaa Manywele ghaa muKabhende  Hadithi za Wanyama wa Kabende
13   Suula jye ekumi ne etatu  Bhwenga  Harusi
14   Suula jye ekumi ne ene  Nyimbo sya Sibhende  Nyimbo za Kibende
15   Suula jye ekumi ne etaanu  Kamughenyi kaa Lubhugha ne Nsofu  Hadithi ya Mrarusanda na Tembo
16   Suula jye ekumi na mukaagha  Kamughenyi kee ebhubha lya mukeema  Hadithi ya mwanamke mwenye wivu
17   Suula jye ekumi na ndwi  Mighanyi jya Sibhende  Methali za Kibende


Authors
 Yasini MASHAKA
 

Uune Yasini Masyaka, nankafuukanga mwaka 1961 mukijiji jya Mwese, wilaya jya Mpanda mukoa ghwa Katabhi, Tansania. Mulimo ghwane ni kulima. Ndina mukeema ghumwi na bhaana munaane. Bhaghoosi bhane na bhakeema bhane.

Mimi Yasini Mashaka, nimezaliwa mwaka 1961 katika kijiji cha Mwese wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi, Tanzania. Kazi yangu ni kilimo. Nina mke mmoja na watoto nane. Wa kiume wanne na wa kike wanne.


 Hamisi KABOKO
 

Uune Hamisi Seifu Kabhoko, nankafuukanga mwaka 1964 mwensi ghwa bhune mukijiji jya Bhughalabha kuKalya, wilaya jya Kighoma mukoa ghwa Kighoma muTansania. Mulimo ghwane ni ghwa kulima. Mukeema ntosile ghumwi, na bhaana tuline ekumi, bhali bhapanga, na bhabhili bhaakafwa, tebhali habhwelelo. Kabhili ndina bheesukulu bhatatu mughoosi no bhakeema bhabhili.

Mimi Hamisi Seifu Kaboko nimezaliwa mwaka 1964 mwezi wa nne katika kijiji cha UgalabaKalya, wilaya ya Kigoma mkoa wa Kigoma, Tanzania. Kazi yangu ni kilimo. Nina mke mmoja, na watoto kumi walio hai na wawili walifariki dunia. Pia nina wajukuu watatu wa kiume na wa kike.


Yuko ABE
Uune Yuko Abe, nankafuukanga mwaka 1974, mulugho lwa Nase, mumukoa ghwa Kagoshima, musihugho sya Japani. Nankahwanga Chuo Sikulu sya Masomo ghaa Sigheeni muTokyo. Ndikusoma maghambo ghaa luugha jya Sibhende. Mulimo ghwane ni bhwalimu bhwa maghambo ghaa luugha.

 Mimi Yuko Abe, nimezaliwa mwaka 1974, mjini Nase, mkoa wa Kagoshima nchini Japani. Nimemaliza Chuo Kikuu cha Masomo ya Kigeni Tokyo. Ninasoma Isimu ya Lugha ya Kibende. Kazi yangu ni ualimu wa Isimu ya lugha.


Shukrani
Mchoraji : Bw. Hashim Seif KABOKO
Waigizaji : Mwl. Mnyihunga Jumanne Mwelela, Bi. Faustina P. Lumalisha, Bi. Nzuhula Shomari
Wasomaji wa prufu : Bi. Agatha Nyundo, Dkt. Shani Omari
 
 


Vitabu vya Rejea
Mdee, James S., na John G. Kiango (2008). Kamusi ya Wanyama. Dar es Salaam. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.
Mwengerano, Anderson M.J., Nestory D. Kipfumu, na Pamphili Chubwa (1997). Tugaanire Mugiha, Tuzungumze katika Kiha. Finland-Tanzania Friendship Society and Ministry of Education (Finland).
SIL-International (2012). “Mighaɲi Ja Sibhēnde, Methali za Kibende” Toleo la Majaribio, Huduma ya Kutafsiri Biblia na Kuendeleza Lugha za Asili, Mpanda.
TUKI/TATAKI (Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) (2012). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Toleo la 3. Oxford University Press.


Copyright 2016 (c) Yuko ABE, All rights reserved.