This site offers materials from Bende, Katavi Region, Tanzania
 IRC & LingDy 2
ILCAA, Tokyo University of Foreign Studies

Home Introduction Tusahule Sibhende
Dictionary

Unit 2  Suula jya bhubhili

Kwiposya / Kusalimiana

 Kwiposya (Kusalimiana)

Ghwalaala mpola? [ku uughwe]
Mwalaala mpola? [ku uumwe]
-- Empola. Umelala salama ?
Umelala salama?
Mmelala salama?
-- Salama.
 
Ghwasingwa mpola? [ku uughwe]
Mwasingwa mpola? [ku uumwe]
-- Empola.
Umeshindaje?
Mmeshindaje?
-- Salama.
Ghwajikala. [ku uughwe]
Mwajikala. [ku uumwe]
-- Endita.
Habari za mapumziko? (wewe)
Habari za mapumziko? (nyinyi)
-- Nzuri.
Ghwakola (mulimo). [ku uughwe]
Mwakola (milimo). [ku uumwe]
-- Endita.
Habari za kazi? (wewe)
Habari za kazi? (nyinyi)
-- Nzuri.
Ghwalyata. [ku uughwe]
Mwalyata. [ku uumwe]
-- Endita.
Habari za matembezi? (wewe)
Habari za matembezi? (nyinyi)
-- Nzuri.
Habari za matembezi? (wewe)
Habari za matembezi? (nyinyi)
-- Nzuri.
Habari za matembezi? (wewe)
Habari za matembezi? (nyinyi)
-- Nzuri.
Ulikujumbo oghwe? [ku uughwe]
-- Ee, ndikujumba.
Mulikujumbo omwe? [ku uumwe]
-- Ee, tulikujumba.
 Habari za matembezi? (wewe)
-- Ndiyo, nzuri.
Habari za matembezi? (nyinyi)
-- Ndiyo, nzuri.
Nanseesya.
-- Endita, maa...(Mulahilo)*.
Ninasalimu.
-- Salama, (Ukoo).
Kupanga kulugho?
-- Kupanga.
Habari za nyumbani?
-- Kuzuri.
Hapanga halugho?
-- Hapanga.
Habari za nyumbani?
-- Pazuri.
Kupanga koobheele? [ku uughwe]
Kupanga komubheele? [ku uumwe]
-- Kupanga.
Habari za huko? (wewe)
Habari za huko? (nyinyi)
-- Kuzuri.
Kupanga kookabheele? [ku uughwe]
Kupanga komukabheele? [ku uumwe]
-- Kupanga.
Habari za huko? (wewe)
Habari za huko? (nyinyi)
-- Kuzuri.


*Mulahilo na Sihugho /(Kuitikia kulingana na "Ukoo" fulani na nchi)[Sihugho / Nchi]

Maa Luhinda  Bhusyamba, Ndolo, Ityasyo, Ipumba, Nsambala, Bhusungwe
Maa Mukwala Bhutinta 
Maa Mutaahya Bhutaahya 
Maa Mulonga  Bhughalabha 
Maa Kabhuje  Ng'ondo, Bhughwe, Ilobha 
Maa Kalinda  Bhughwe 
Maa Mwelu  Lusaabha 
Maa Ngela Lughalisi 
Maa Mulengo  Masaabha 
Maa Lughende  Bhujombe, Bhusondo 
Maa Mujonga  Nkungwe 
Maa Mpaho  Bhulunda 
 

Kwitaahya (Kuagana)

Bhuholo.
-- Ee, bhuholo. 
Kwa heri.
-- Ndiyo, kwa heri. 
 
Sibha mpola. [ku uughwe]
Sibhe mpola. [ku uumwe]
-- Endita. 
Ubaki salama.
Mbaki salama.
-- Salama. 
Kaje mpola. [ku uughwe]
Muje mpola. [ku uumwe]
-- Endita. 
Nenda salama.
Nendeni salama.
-- Salama. 
Sibha ghwatonga. [ku uughwe]
Sibhe mwatonga. [ku uumwe]
-- Endita. 
Ugua pole.
Ugueni pole.
-- Asante. 
Lisyaliko.
-- Lisyaghaka / Lisyaliko.
(Jua) bado liko. (Salamu ya mchana)
-- Bado linawaka / bado liko. 
Laala mpola. [ku uughwe]
Laale mpola. [ku uumwe]
-- Endita. 
Lala salama.
Laleni salama.
-- Salama. 


 Kwiposya kundi (Salamu nyingine)

 
Mitende? [ku mulwele]
-- Jyakatendela / Jisyalikutendela.  
Anaendelaje na ugonjwa?
-- Bado anaendela (na ugonjwa). 
Ghwanjima sii? [ku uughwe]
Mwanjima sii? [ku uumwe]
-- Bhughali. 
Unaninyima nini?
Mnaninyima nini?
-- Ugali. 
Tuliho.
-- Elo. 
Tupo.
-- Ndiyo, tupo. 
 Ukomile? [ku uughwe]
-- Ee, nkomile.
Mukomile? [ku uumwe]
-- Ee, tukomile. 
U hali gani?
-- Mzima.
M hali gani?
-- Wazima. 
U(li)kusaaho oghwe? [ku uughwe]
-- Ee, ndikusaaha.
-- Aajeehi, ndi mulwele (ndwele).
-- Aajeehi, ndikubhungwa.
-- Aajeehi, ndikujuumwa.
Mu(li)kusaaho omwe? [ku uumwe]
-- Ee, tulikusaaha.
-- Aajeehi, tuli bhalwele (tulwele).
-- Aajeehi, tulikubhungwa.
-- Aajeehi, tulikujuumwa. 
Unaendelea vizuri?
-- Ndiyo, naendelea vizuri.
-- Hapana, ninaumwa.


Mnaendejea vizuri?
-- Ndiyo, tunaendelea vizuri.
-- Hapana, tunaumwa.
Ghwaghona mpola? [ku uughwe]
Mwaghona mpola? [ku uumwe]
-- Empola. 
Umelala salama?
Mmelala salama?
-- Salama. 


 Viwakilishi nafsi

 
 

Copyright 2016 (c) Yuko ABE, All rights reserved.